Deni ni mkopo uliokosewa heshima Tukiwa katika darasa la mafunzo ya jinsi ya kulipa madeni na kuachana na mikopo mibaya, mtu akasema anadaiwa na watu na taasisi mbalimbali kiasi kwamba kila anachozalisha katika biashara...
Usikope kwa sababu unakopesheka benki Mtweve Malima ni mfanyabiashara wa nafaka katika maduka yaliyopo Ubungo, Dar es Salaam. Malima ni kijana ambaye anafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha anahudumia wateja wake waridhike na...
Mshahara wako unalipa kodi miezi sita? Ian ni mwajiriwa wa taasisi yaa umma. Mshahara wake ni wa kawaida ambao unaweza kumsaidia kulipa bili na matumizi yake ya kawaida.